Breaking: Calisah aachiwa baada ya kulala polisi kwa tuhuma ya kusambaza video ya utupu ya Wema (Video)

http://www.revenuehits.com/lps/v6/index.php?ref=@RH@rctazf7i2ifXOZxvfJd9TZzRXiyGyxkcyudQKibhNms
Akiongea na Snackwells Media >> Jana ya tarehe 15/11/2016
||  sourrce Bongo 5||
 jioni kwa njia ya simu wakati akielekea nyumbani kwake, Calisah alisema ni kweli alikamatwa toka jana kutokana na tuhuma za kusamba video hizo mtandaoni.
“Kweli nilikamatwa toka jana lakini nimeachiwa,” alisema Calisah.
Pia model huyo amesema atatoa taarifa zaidi ya nini kinaendelea kuhusu suala hilo.
Breaking: Calisah aachiwa baada ya kulala polisi kwa tuhuma ya kusambaza video ya utupu ya Wema (Video) Breaking: Calisah aachiwa baada ya kulala polisi kwa tuhuma ya kusambaza video ya utupu ya Wema (Video) Reviewed by Baraka on November 16, 2016 Rating: 5

No comments:


Powered by Blogger.