Alikiba atumbuiza kwenye Mkhaya Migrants Awards, Afrika Kusini

Fresh kutoka kuchukua tuzo tatu za EATV Awards, Jumamosi hii, Alikiba alikwea pipa hadi jijini Johannesburg, Afrika Kusini kwenda kutumbuiza kwenye, Mkhaya Migrants Awards. Zimetolewa Jumapili hii.

 
 Tuzo hizo huandaliwa na wizara ya mambo ya ndani ya Afrika Kusini kuwatuza wahamiaji wanaofanya vizuri kwenye nyanja mbalimbali nchini humo.
Alikiba atumbuiza kwenye Mkhaya Migrants Awards, Afrika Kusini Alikiba atumbuiza kwenye Mkhaya Migrants Awards, Afrika Kusini Reviewed by Baraka on December 11, 2016 Rating: 5

No comments:


Powered by Blogger.