Video: Tyga na Kylie Jenner waachia filamu fupi ‘KYLIE’

Kylie Jenner na Tyga wameachia filamu fupi waliyoipa jina, Kylie.

Kipande hicho cha filamu kilifanyika Venice na ni cha dakika 3 tu kikielezea historia ya Kylie.
Enjoy:
Video: Tyga na Kylie Jenner waachia filamu fupi ‘KYLIE’  Video: Tyga na Kylie Jenner waachia filamu fupi ‘KYLIE’ Reviewed by Baraka on December 27, 2016 Rating: 5

No comments:


Powered by Blogger.