Msanii wa vichekesho Bongo, Joti amekuja na parody ya wimbo wa Darassa ‘Muziki’ ambao kwa sasa unafanya vizuri kwenye vituo mbalimbali vya redio na runinga. Tazama video hiyo hapa chini.
Video: Joti – Muziki (Parody)
Reviewed by Baraka
on
January 13, 2017
Rating: 5
No comments: