Petman baada ya picha yake na Hamisa Mobetto kusambaa mitandaoni

Baada ya stori za Diamond Platnumz kuzaa na Hamisa Mobetto kumalizika kwa Diamond kukiri kuzaa na mrembo huyo, moja kati ya stori mpya zinazotrend kwa sasa ni picha ya shemeji yake na Diamond Platnumz ambaye anajulikana kwa jina la Petman kuwa katika picha ya pamoja na Hamisa Mobetto ambaye inatafsirika tofauti na baadhi ya watu.
Petman baada ya picha yake na Hamisa Mobetto kusambaa mitandaoni Petman baada ya picha yake na Hamisa Mobetto kusambaa mitandaoni Reviewed by Baraka on September 26, 2017 Rating: 5

No comments:


Powered by Blogger.