Anita Nderu: Nilishtukia mkono wa mwanamume kwenye Nyeti Yangu!!!! -Tazama Hii Video

Mtangazaji wa runinga na redioni Kenya Anita Nderu alidhalilishwa akisafiri kwa kutumia magari ya uchukuzi wa umma Nairobi, maarufu kama matatu.
Amejitokeza na kusimulia yalimfika akitumai kwamba hatua hiyo itawasaidia waathiriwa wengine kujitokeza.

Anita Nderu: Nilishtukia mkono wa mwanamume kwenye Nyeti Yangu!!!! -Tazama Hii Video Anita Nderu: Nilishtukia mkono wa mwanamume kwenye Nyeti Yangu!!!! -Tazama Hii Video Reviewed by Baraka on October 20, 2017 Rating: 5

No comments:


Powered by Blogger.